Parashield Capsule
Viungo:
Radix Sophorae Flavescentis, Cortex Meliae
Kazi Na Faida Zake
- Kuua na kuzuia mashambulizi ya vimelea wanaopatikana kwenye matumbo;
- Kuzuia magonjwa yatokanayo na vimelea.
Yafaa Kwa:
- Watu dhaifu kwa magonjwa ya vimelea kama wale wenye upungufu wa kinga za mwili
- Watu walio kwenye mazingira ya vimelea wengi, kama maji yasiyo salama, udongo au chakula
- Watu wenye shida ya kupata maji salama ya kunywa
- Watoto na vijana
Maelezo Muhimu:
Magonjwa Ya Watu Wengi Ya Vimelea Wanaoshambulia Utumbo
Magonjwa ya vimelea ni tishio kwa maisha ya binadamu. Sasa hivi, magonjwa ya vimelea wa utumbo ni tishio kubwa, kama ascaris (minyoo mviringo), uncinariasis (maambukizo ya hookworm), trichuriasis (maambukizo ya whipworm) na enterobiasis (maambukizo ya threadworm/pinworm), n.k. Vimelea hawa huishi kwenye matumbo na kusababisha maradhi mbalimbali.
Ni Kwa Namna Gani Parashield Ya Green World Inapambana Na Vimelea?:
Mchanganyiko wa mimea miwili una matokeo mazuri ya kupambana na cestode kwa kuupozesha mwili mzima wa mnyoo huu. Pinworm anaweza kupoozeshwa hadi asiwe na nguvu. Apiral ascaris, hookworm, whipworm na fasciolopsis wanaweza kuondolewa. Schistosomiasis (bilhazia) ambao ni minyoo wanaosababisha kichocho, wanaweza kuondolewa.
Mmea wa Cortex Meliae hupoozesha na kuwaondoa ascaris na whipworm. Radix Sophorae Flavescentis huua trichomonas vaginalis na endamoeba.
Parashield ya Green World inafanya vizuri katika kuua vyote, mayai na minyoo wakubwa.
.

<<<<< MWANZO